Both Teams to Score Tips (GG/NG)

Mkeka wa GG/NG au Both Teams to Score (BTTS) ni moja wapo ya mikeka yetu ya kila siku inayofanya vizuri sana. Jipatie bashiri za leo na za kila siku za BTTS au GG/NG na uongeze nafasi yako ya ushindi. Shinda beti zako nasi leo

Ofa Gal Sport Betting Tanzania. Rudishiwa Dau Mkeka Ukichanika
ยซ Juzi
Jana
โ• Leo โ•
Kesho ยป

โญ Both Teams to Score Tips | Juzi โญ

โญ Both Teams to Score Tips | Jana โญ

โญ Both Teams to Score Tips | Leo โญ

โญ Both Teams to Score Tips | Kesho โญ

* Mkeka wa Kesho bado haujaandaliwa, rudi baada ya mda kidogo utakuwa tayari.

Vifupisho vya machaguo ya betting na maana zake


  • 1 Home win (Timu ya nyumbani kushinda).
  • X Draw (Mechi itoke droo).
  • 2 Away (Timu ya ugenini kushinda).
  • 1X Home or Draw (Timu ya nyumbani kushinda au kutoa droo).
  • X2Draw or Away (Timu ya ugenini kushinda au kutoa droo).
  • 12 Home or Away (Timu ya nyumbani au ya ugenini kushinda. Droo isiwepo).
  • GG Goal Goal / Both teams to score [Yes] (Timu zote kufungana. Mfano 1:1, 2:1, 1:2, 3:1, 3:2, 2:2, n.k).
  • NG Goal No Goal / Both teams to score [No] (Wasifungane au upande mmoja tu ndo upate goli. Mfano 0:0, 0:1, 1:0, 2:0, 3:0, 0:2, 0:3, n.k).
  • HWEH Home Win Either Half (Timu ya nyumbani ishinde angalau kipindi kimoja).
  • AWEH Away Win Either Half (Timu ya ugenini ishinde angalau kipindi kimoja).

Vifupisho vya machaguo ya Under/Over


  • Over 0.5 Jumla ya goli moja au zaidi kufungwa kwenye hii mechi. Mfano 1:0, 1:1, 2:0, 2:1, 2:2, n.k.
  • Over 1.5 Jumla ya magoli mawili au zaidi kufungwa kwenye hii mechi. Mfano 2:0, 2:1, 3:1, 3:2, n.k.
  • Over 2.5 Jumla ya magoli matatu au zaidi kufungwa kwenye hii mechi. Mfano 3:0, 3:1, 4:1, 4:2, n.k.
  • Over 3.5 Jumla ya magoli manne au zaidi kufungwa kwenye hii mechi. Mfano 4:0, 4:1, 5:2, 6:3, n.k.
  • Under 1.5 Chini ya jumla ya magoli mawili kufungwa kwenye hii mechi, mfano 1:0, 0:0.
  • Under 2.5 Chini ya jumla ya magoli matatu kufungwa kwenye hii mechi, mfano 2:0, 1:1, 1:0, 0:0.
  • Under 3.5 Chini ya jumla ya magoli manne kufungwa kwenye hii mechi, mfano 3:0, 2:1, 2:0, 1:1, 1:0, 0:0.
  • Under 4.5 Chini ya jumla ya magoli matano kufungwa kwenye hii mechi, mfano 4:0, 3:1, 3:0, 2:2, 2:1, 2:0, 1:1, 1:0, 0:0.

Vifupisho vya machaguo ya Halftime/Fulltime (HT/FT)


  • 1/1 Home/Home (Timu ya nyumbani kushinda kipindi cha kwanza na kuibuka mshindi mwisho wa mechi).
  • X/1 Draw/Home (Timu ya nyumbani kutoa droo kipindi cha kwanza na kuibuka mshindi mwisho wa mechi).
  • 1/X Home/Home (Timu ya nyumbani kushinda kipindi cha kwanza na kutoa droo mwisho wa mechi).
  • X/X Draw/Draw (Droo kipindi cha kwanza na mechi iishe droo).
  • 2/2 Away/Away (Timu ya ugenini kushinda kipindi cha kwanza na kuibuka mshindi mwisho wa mechi).
  • X/2 Draw/Away (Timu ya ugenini kutoa droo kipindi cha kwanza na kuibuka mshindi mwisho wa mechi).
  • 2/X Away/Draw (Timu ya ugenini kushinda kipindi cha kwanza na kutoa droo mwisho wa mechi).

๐ŸŽ Bonuses & Offers

โšฝ๏ธ Number #1 Tanzania Betting Site

๐Ÿ”— Gal Sport Betting

Multi Bonasi Hadi 1000%

๐Ÿ”— DAKA BONUS

Nafasi ya Kucheza Jackpot BURE! Kila Siku

๐Ÿ”— CHEZA SASA!

200% Bonus Deposit ya Kwanza

๐Ÿ”— DAKA BONUS